Portada

MIMI NI SHEHE MUJIB IBD

NSEMIA INC.
07 / 2023
9789966082671

Sinopsis

Mwandishi huyu tajika na mtunzi, Anisur Rahman, ameandaa kazi bora ya Mimi ni Shehe Mujib: Uzungumzi Nafsi wa Kiutendi. Kazi hiyo ilinivutia kwa sababu ya ufaafu wa matukio halisi katika nchi ya Kenya yanayoshughulikiwa na mwandishi: masuala ya kijamii na kisiasa, siasa za lugha na ukiukaji wa haki za kibinadamu.